
Katika hari isiyotarajiwa klabu kubwa
nchini simba na yanga zinaonekana kuitolea nje michuano ya mapinduzi cup
inayotarajia kuanza mwezi january mwakani huku timu zote zikititoa
sababu binafsi Mabingwa tanzania simba ambao wanasafari ya kwenda muscat
Mwezi january wameshasema Kupitia Mwenyekiti wa klabu hiyo Ismail Aden
Rage kuwa timu yao ina wachezaji 36 hiii inamaana kuwa kuna uwezekano
mkubwa wapereka kikosi cha pili.
huko zanzibari kwani wanasafari ya kwenda oman kujiandaa na mzunguko wa pili ligi ya primia Tanzania Bara
Yanga kupitia katibu mkuu wake Mwalusako
imesema haita shiriki huku sababu kubwa ikiwa kama ya simba kwenda
uturuki kujiandaa na mzunguko wa pili wa ligi huku akisistiza kuwa labda
wapereke kikosi cha pili 

mwenyekiti wa kamati inayosimamia
mashindano hayo said Khamis Abdallah amesema kuwa watatoa jibu kesho
kama timu hizo zitashiriki au hazitoshiriki huku Tusker ya kenya
ikisibithia kushiriki wakati Al ahly ya Masir imetangaza kujitoa
kutokana na sababu sizizo weza kuzuirika Timu pekee zilizo thibithisha
kushiri kutoka bara ni Azam na coast union ambapo michuno hiyo inataraji
kuanza tarehe pili january .
aidha michuano itachezwa unguja pekee tofauti na ilivyopangwa awali kuwa ingechezwa na pemba .
MAKUNDI:
KUNDI A:
Simba (Dar-es-Salaam),
Tusker (Kenya)
Bandari (Unguja)
Jamhuri (Pemba).
KUNDI B:
Azam FC (Dar-es-Salaam)
Mtibwa Sugar (Morogoro)
Coastal Union (Tanga)
Miembeni (Unguja).
No comments:
Post a Comment