Thursday, October 11, 2012


WA SIMBA WA COASTAL WAITISHA MBAYA SIMBA SC

Coastal Union ya 2012


KUELEKEA mechi ya kesho dhidi ya Coastal Union, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga Simba SC inawahofia zaidi wachezaji wake wa zamani ambao kwa sasa wanachezea kwa wapinzani wa hao wa kesho.
Gumzo ndani ya Simba kuelekea mchezo huo ni namna ambavyo wachezaji wao waliowatema na sasa wanachezea Coastal watakavyojituma katika mechi hiyo ili kuonyesha wao bado wachezaji wazuri.
Wachezaji wa zamani wa Simba kwenye kikosi cha Cosatal ni mabeki Said Swedi ambaye ni Nahodha wa timu, Juma Jabu, kiungo Jerry Santo na washambuliaji Nsa Job na Sali Aziz Gilla.
Wachezaji wote hao huwa wanaanza kwenye kikosi cha kwanza cha Cosatal na kesho pia, kuna uwezekano Swedi ‘Panucci’ akaanza beki ya kulia na JJ akacheza kushoto, wakati kwenye kiungo Mkenya, Santo ataichezesha timu.
Kuna uwezekano mkubwa sana Salim Aziz Gilla akatokea benchi, lakini ‘piga ua’, mkali wa mabao, Nsa Job lazima ataanza kwenye mechi hiyo kujaribu kufanya kile alichokifanya msimu uliopita akiwa Villa Squad, kutikisa nyavu za Simba kwa bao muhimu.   
Lakini pia, kikosi cha mabingwa hao wa Ligi Kuu 1988, kina wachezaji wengine wa kutisha kama kiungo Razack Khalfan aliyewahi kucheza Yanga na mshambuliaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Atupele Green, ambaye huenda akaanza na Nsa kesho pale mbele.
Yupo beki Mganda Philip Kaira na kiungo wa kimataifa wa Zanzibar, Suleiman Kassim 'Selembe'- wote wanatisha na kesho bila shaka wataipa mtihani Simba SC Mkwakwani. 
Simba inaendelea vizuri kwa maandalizi yake ya mchezo huo wa kesho dhidi ya wenyeji Coastal Union mjini Tanga na wachezaji wote 22 waliokwenda huko wana morali ya kutosha ya ushindi.
Vigogo wa Friends Of Simba (F.O.S) wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Zacharia Hans Poppe wamekodi ndege kwenda Tanga kuwaongezea morali washinde mechi ya kesho, ambayo inatarajiwa kuwa ngumu kutokana wenyeji kupania kuwa timu ya kwanza kuifunga Simba msimu huu.
Ikumbukwe Simba imetoa sare moja ya kufungana 1-1 na Yanga, Oktoba 3, mwaka huu katika mechi zake sita ilizocheza sasa na nyingine zote tano imeshinda, jambo ambalo linawafanya waendelee kuwa kileleni mwa Ligi Kuu.
Simba, ambayo kwenye mechi hiyo itawakosa nyota wake saba, Emanuel Okwi ambaye amekwenda kujiunga na timu yake ya taifa, Uganda, Ramadhani Chombo ‘Redondo’, Mrisho Khalfan Ngassa wanaosumbuliwa na Malaria, Haruna Shamte, Kiggi Makassy Kiggi, Hamadi Waziri na Komabil Keita ambao ni majeruhi ipo Tanga tangu juzi.
Wachezaji 22 walio na timu Tanga ni makipa Juma Kaseja, Wilbert Mweta, mabeki Nassor Masoud ‘Chollo’, Amir Maftah, Juma Nyoso, Paschal Ochieng, Shomary Kapombe, Hassan Khatib, Paulo Ngalema, Komabil Keita, viungo Mwinyi Kazimoto, Jonas Mkude, Amri Kiemba, Salim Kinje, Ramadhani Singano, Uhuru Suleiman, Haruna Moshi ‘Boban’ na washambuliaji Felix Sunzu, Edward Christopher, Haroun Chanongo, Daniel Akuffo na Abdallah Juma.
Katika kujiandaa na mechi ya Tanga, Simba Jumanne ilicheza mechi ya kujipima nguvu na kuifunga Azam FC mabao 3-2 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika asubuhi kwenye Uwanja wa Chamazi, maarufu kama Azam Complex, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Mabao ya Simba siku hiyo yalifungwa Ramadhani Singano ‘Messi’, Uhuru Suleiman ‘Robinho’ na Daniel Akuffo, wakati ya Azam yalifungwa na Jamil Mchauru na Khamis Mcha.
Hiyo ilikuwa mechi ya nne Azam inafungwa na Simba msimu huu katika mechi tano walizokutana hadi sasa, baada ya awali kufungwa kwa penalti kwenye fainali ya Kombe la Urafiki, kufuatia sare ya 2-2, kufungwa 2-1 kwenye Nusu Fainali ya BancABC Sup8R na 3-2 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii, wakati wao walishinda 3-1 dhidi ya Wekundu hao wa Msimbazi, katika Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame.
Azam na Simba zitakutana tena katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, mzunguko wa kwanza, Oktoba 27, mwaka huu, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.     
Simba ndio inaongoza Ligi Kuu, hadi sasa ikiwa imeshinda mechi tano kati ya sita ilizocheza na moja tu imetoka sare, hivyo kujikusanyia pointi 16, wakati Azam inashika nafasi ya pili ikizidiwa pointi tatu, ingawa pia iko nyuma kwa mchezo mmoja.
kutoka maktaba: Kikosi kabambe cha coastal union enzi hizo
Sep 2nd 2012, 10:49
Coastal Union ya Tanga ambayo enzi hizo ilikuwa tishio kwa vigogo wote wa soka nchini.enzi ya miaka ya 1988 na ikumbukwe jumamosi kutakuwa na mpute mpute wa VPL kati ya timu ya coastal union na simba katika dimba la mkwakwani tanga pale.na ikumbukwe tu simba na coastal union mara ya mwisho kukutana ilikuwa mwaka huu januari,25,2012 Katika ligi kuu tanzaznia bara enzi zile simba ilikuwa na kiungo bora marehemu patrick mutesa mafisango na simba ika shinda bao 2-1

SIMBA YAISHINDA COASTAL UNION 2-1

Haruna Moshi (kulia) wa Simba akimtoka na Felix Stanley wa Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, jioni hii kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba imeshinda bao 2-1.

Patrick Mafisango- Simba akigombea mpira na na Daniel Lianga wa Coastal Union

Patrick Mafisango- Simba (kulia) na Hamis Shengo- Cost Union

Patrick Mafisango- Simba (kulia) na Mbwana Hamis- Costal Union
JE UNATABIRIA KITU GANI WEWE MNAZI MPENZI MKUBWA WA TIMU HIZI COMMENT HUMU KATIKA TANO JUMA IN SPORTS

SIMBA SC IPO KAMILI KWA GAME LA KESHO TANGA


Wachezaji wa Simba SC wakipasha


SIMBA inaendelea vizuri kwa maandalizi yake ya mchezo wa kesho dhidi ya wenyeji Coastal Union mjini Tanga na wachezaji wote 22 waliokwenda huko wana morali ya kutosha ya ushindi.
Vigogo wa Friends Of Simba (F.O.S) wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Zacharia Hans Poppe wamekodi ndege kwenda Tanga kuwaongezea morali washinde mechi ya kesho, ambayo inatarajiwa kuwa ngumu kutokana wenyeji kupania kuwa timu ya kwanza kuifunga Simba msimu huu.
 
Ikumbukwe Simba imetoa sare moja ya kufungana 1-1 na Yanga, Oktoba 3, mwaka huu katika mechi zake sita ilizocheza sasa na nyingine zote tano imeshinda, jambo ambalo linawafanya waendelee kuwa kileleni mwa Ligi Kuu.
 
Simba, ambayo kwenye mechi hiyo itawakosa nyota wake saba, Emanuel Okwi ambaye amekwenda kujiunga na timu yake ya taifa, Uganda, Ramadhani Chombo ‘Redondo’, Mrisho Khalfan Ngassa wanaosumbuliwa na Malaria, Haruna Shamte, Kiggi Makassy Kiggi, Hamadi Waziri na Komabil Keita ambao ni majeruhi ipo Tanga tangu juzi.
 
 
Wachezaji 22 walio na timu Tanga ni makipa Juma Kaseja, Wilbert Mweta, mabeki Nassor Masoud ‘Chollo’, Amir Maftah, Juma Nyoso, Paschal Ochieng, Shomary Kapombe, Hassan Khatib, Paulo Ngalema, Komabil Keita, viungo Mwinyi Kazimoto, Jonas Mkude, Amri Kiemba, Salim Kinje, Ramadhani Singano, Uhuru Suleiman, Haruna Moshi ‘Boban’ na washambuliaji Felix Sunzu, Edward Christopher, Haroun Chanongo, Daniel Akuffo na Abdallah Juma.
 
Katika kujiandaa na mechi ya Tanga, Simba Jumanne ilicheza mechi ya kujipima nguvu na kuifunga Azam FC mabao 3-2 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika asubuhi kwenye Uwanja wa Chamazi, maarufu kama Azam Complex, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
 
Mabao ya Simba siku hiyo yalifungwa Ramadhani Singano ‘Messi’, Uhuru Suleiman ‘Robinho’ na Daniel Akuffo, wakati ya Azam yalifungwa na Jamil Mchauru na Khamis Mcha.
 
Hiyo ilikuwa mechi ya nne Azam inafungwa na Simba msimu huu katika mechi tano walizokutana hadi sasa, baada ya awali kufungwa kwa penalti kwenye fainali ya Kombe la Urafiki, kufuatia sare ya 2-2, kufungwa 2-1 kwenye Nusu Fainali ya BancABC Sup8R na 3-2 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii, wakati wao walishinda 3-1 dhidi ya Wekundu hao wa Msimbazi, katika Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame.
 
Azam na Simba zitakutana tena katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, mzunguko wa kwanza, Oktoba 27, mwaka huu, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.     
 
Simba ndio inaongoza Ligi Kuu, hadi sasa ikiwa imeshinda mechi tano kati ya sita ilizocheza na moja tu imetoka sare, hivyo kujikusanyia pointi 16, wakati Azam inashika nafasi ya pili ikizidiwa pointi tatu, ingawa pia iko nyuma kwa mchezo mmoja.

WAREMBO MISS TANZANIA 'WAWAPIGA DENDA' NYOKA SNAKE PARK



MShiriki wa Miss Tanzania 2012, Babylove Kalala akijaribu kumuuma nyoka wakati mrembo huyo pamoja na wenzake wanaowania taji hilo walipotembelea eneo la Snake Park mjini Arusha. Habari na picha kwa hisani ya Father Kidevu Blog.
********
Warembo wanaowania taji la Miss Tanzania 2012 jana walitembelea eneo la Utalii la ufugaji nyoka la mjini Arusha maarufu ARUSHA SNAKE PARK na kujionea nyoka wa aina mbalimbali, Mamba, Kenge, ndege aina ya  Bundi, Tai na Tumbiri.
Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kwaajili ya kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii nchini na kujifunza mambo tofauti tofauti.
Pamopja na kujionea Nyoka hao na kucheza nao kwa kuwa vaa shingoni pia warembo hao walipata fursa ya kujifunza juu ya tamaduni za Mila ya Wamaasai na kutembelea vibanda vya urembo wa Kimasai. 
 Mrembo wa Kilimanjaro, Anande Raphael (kushoto) akipozi na Mrembo wa Lindi, Irine Veda huku wakiwa na nyoka.
 Mrembo Diana Hussein nae aliweka mapozi yake na nyoka
 Warembo wakimwangalia Catherine Masumbigana aliyemzungusha nyoka shingoni
 Hapa ni Mrembo wa Kitongoji cha Ukonga jijini Dar es Salaam, Mary Chizi akila pozi.
 Jesca Haule mrembo kutoka Kitongoji cha Chang'ombe jijini Dar es Salaam nae alionesha ujasiri wake wa kumvaa nyoka.
 Wapo walio ogopa kama Miss Photogenic 2012, Lucy Stephano
 Mrembo wa Mbeya Caren Elias nae aliogopa sana. Kulia ni Noela Michael kutoka Tabata nae akiogopa hata nyoka hajamshika.
 Lightness Michael nae aliweka pozi na Nyoka
 Fina Revocatus kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha akipozi na wenzake.
 Warembo wakiwa katika eneo la Historia ya Jamii ya wamaasai ambayo nayo ipo Meserani mjini Arusha.
 Mrembo wa Pwani, Rose Lucas akipita katika sehemu ya Historia ya Wamasai.
  Miss Tanzania 2011, Salha Izrael nae akitoka katika vibanda vya biashara
 Elizabeth Diamond mrembo kutoka Singida akiangalia shanga na urembo za aina mbalimbali kwaajili ya kununua.
 Mrembo wa Kahama Mkoani Shinyanga, Happiness Rweyemamu nae alikuwa akitafuta cha kununua.
 Mkuu wa Itifaki ya Miss Tanzania, Albert Makoye akipiga picha na warembo wa Miss Tanzania akiwa amevalia vazi rasmi la Kabila la Kimasai.
Mkuu wa Itifaki wa Miss Tanzania, Albert Makoye na Mrembo Joyce Baluhi wakiwa wamevalia mavazi rasmi ya jamii ya Wamaasai.

BRANDTS ANA WA KUTOSHA KUIREKEBISHA YANGA KABLA YA MECHI IJAYO

Brandts


BAADA ya ushindi wa mabao 3-1 jana dhidi ya wenyeji Toto African katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza, Yanga wanarejea leo Dar es Salaam kwa basi leo kujiandaa na mchezo ujao, dhidi ya Ruvu Shooting Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Oktoba 20, mwaka huu.
 
Kocha Mholanzi, Ernie Brandts atakuwa na muda wa kutosha wa kurekebisha makosa katika kikosi chake kabla ya kuingia kwenye mchezo wa nane wa Ligi Kuu na wa nne tangu aanze kazi, akirithi mikoba ya Mbelgiji, Tom Saintfiet.
 
Katika siku za karibuni, mapungufu ya wazi yaliyojitokeza kwenye kikosi cha Yanga ni kucheza bila uelewano wa kutosha, umakini haba na pia wachezaji wanaonekana hawana stamina ya kutosha, mambo ambayo yameigharimu timu hiyo kupoteza mechi mbili katika saba walizocheza, mbili wakitoa sare na kushinda tatu. 
Yanga SC jana ilizinduka kutoka kwenye kipigo cha 1-0 walichopewa na Kagera Sugar mjini Bukoba Jumatatu na kushinda mabao 3-1 katika mfululizo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, dhidi ya wenyeji Toto African, kwenye Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza.
 
Matokeo hayo, yaliifanya Yanga itimize pointi 11, katika mechi saba ilizocheza hadi sasa, ikiwa imefungwa mbili, sare mbili na kushinda tatu, inazidiwa pointi tano na wapinzani wake wa jadi, Simba SC wanaoongoza ligi hiyo kwa pointi zao 16, wakifuatiwa na Azam wenye pointi 13.
 
 
Hadi mapumziko, Yanga walikuwa tayari mbele kwa mabao 2-0, yaliyopachikwa kimiani na mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Didier Kavumbangu na beki wa kimataifa wa Rwanda, mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mbuyu Twite.
 
 
Kavumbangu alifunga bao la kwanza dakika ya pili, baada ya kuuwahi mpira uliotemwa na kipa Erick Ngwengwe kufuatia kona iliyochongwa na Haruna Niyonzima, hilo likiwa bao lake la tano ndani ya mechi 11 tangu ajiunge na Yanga msimu huu akitokea Atletico ya kwao, Burundi.
 
 
Baada ya bao hilo, Yanga waliendelea kulisakama lango la Toto na dakika ya 21, Mbuyu Twite akaunganisha kona ya chini chini iliyochongwa na Niyonzima.
 
 
Toto ilipoteza nafasi nzuri ya kufunga dakika ya 42, baada ya kupata penalti, kufuatia beki mmoja wa Yanga kuunawa mpira kwenye eneo la hatari, baada ya Wana Kishamapanda kufanya shambulizi kali la kushitukiza, lakini kiungo Emanuel Swita akapiga nje.
 
 
Swita alipiga penalti nzuri tu ya chini pembeni kabisa, lakini vipimo vyake vikazidi kidogo, mpira ukatoka nje, ingawa Berko aliifuata vizuri pembeni kabisa kulia kwake na angeweza kuokoa.
 
 
Kipindi cha pili Toto waliingia kwa kasi zaidi na kuanza kulishambulia lango la Yanga mfululizo, wakitawala zaidi sehemu ya kiungo.
Katika dakika ya 54 mshambuliaji Mussa Said aliifungia Toto bao safi, baada ya kipa Yaw Berko kutoka langoni.
 
 
Baada ya bao hilo, Toto walizidi kutawala mchezo na kukosa mabao mawili ya wazi- hapo ndipo kocha Mholanzi, Ernie Brandts akawatoa viungo Frank Domayo na Athumani Idii ‘Chuji’ na kuwaingiza Shamte Ally na David Luhende.
 
 
Walipoingia Shamte na Luhende wote walienda kushambulia pembeni na Haruna Niyonzima na Nurdin Bakari wakarudi katikati.
 
 
Mabadiliko hayo yaliisaidia Yanga kupata bao la tatu dakika ya 68, lililofungwa kitaalamu na mshambuliaji Jerry Tegete ambaye alimpiga chenga kipa Ngwengwe baada ya kupokea pasi ya Oscar Joshua. 
 
 
Baada ya bao hilo, Kocha wa Toto, Johh Tegete naye alifanya mabadiliko akiwatoa Mussa Said na Evarist Maganga na kuwaingiza Heri Mohamed na Heri Kyaruzi. Hata hivyo, pamoja na mabadiliko hayo, Yanga waliendelea kutawala mchezo hadi filimbi ya mwisho.
 
 
Kwa ushindi huu, Yanga imelipa kisasi cha mara ya mwisho timu hizo, zilipokutana kwenye Uwanja huo, Jumapili ya Aprili 15, mwaka huu, Toto walipoibuka na ushindi wa mabao 3-2.
 
Katika mchezo huo, kikosi cha Yanga kilikuwa; Yaw Berko, Juma Abdul, Oscar Joshua, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Mbuyu Twite, Athumani Iddi ‘Chuji’/Shamte Ally, Frank Domayo/David Luhende, Haruna Niyonzima, Jerry Tegete, Didier Kavumbangu na Nurdin Bakari.
 
 
Toto; Erick Ngwengwe, Kulwa Greyson, Eric Mulilo, Evarist Maganga/Heri Kyaruzi, Peter Mabula, Hamisi Msafiri, Emanuel Swita, Haroun Athumani, Mohamed Hussein, Suleiman Kibuta na Mussa Said/Heri Mohamed.  

SURE BOY JR. SASA KAMILI KUIBEBA AZAM LIGI KUU

Salum Abubakar 'Sure Boy Jr.'


KIUNGO bora Afrika Mashariki kwa sasa, Salum Abubakar ‘Sure Boy Jr.’ amepona kabisa na ameongozana na kikosi cha klabu yake Azam FC kilichokwenda Morogoro, kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji Polisi kesho kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
 
 
Sure amekuwa majeruhi kwa muda mrefu na msimu tangu uanze alijaribu kuingizwa kwenye mechi tatu, lakini akashindwa kucheza vema kutokana na maumivu, aliyoyapata kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame, Julai mwaka huu.
 
 
Aliingia akitokea benchi kwenye mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba, ambayo Azam ililala 3-2 na akaingia tena kwenye mechi na JKT Ruvu ambayo Azam ilishinda 3-0 na mechi iliyopita dhidi ya African Lyon, ambayo Azam ilishinda 1-0, Sure aliingia tena akitokea benchi.
 
Kama ataanza kwenye mechi ya kesho na Polisi, hiyo itakuwa ya kwanza kwake tangu kuanza kwa Ligi Kuu na kulingana na maendeleo ya afya yake, kuna uwezekano mkubwa kesho kocha Mserbia, Boris Bunjak akamuanzisha mtoto huyo wa winga wa zamani wa Yanga, Abubakar Salum ‘Sure Boy’.
 
Azam jana walifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Chamazi asubuhi na jioni wakapanda basi lao, lenye kila kitu ndani- TV, friji, choo, mziki wa maana na siti za kulala kwa safari ya takriban saa mbili kwenda Mji Kasoro Bahari, Morogoro.
 
Azam imepania kushinda mechi hiyo Jumamosi ili kuiondoa Simba kileleni na kuzidi kuweka hai matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu.
 
Katika kujiandaa na mechi ya Morogoro, Azam Jumanne ilicheza mechi ya kujipima nguvu na kufungwa na Simba SC mabao 3-2 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika asubuhi kwenye Uwanja wa Chamazi, maarufu kama Azam Complex, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
 
Mabao ya Simba siku hiyo yalifungwa Ramadhani Singano ‘Messi’, Uhuru Suleiman ‘Robinho’ na Daniel Akuffo, wakati ya Azam yalifungwa na Jamil Mchauru na Khamis Mcha.
 
Hiyo ilikuwa mechi ya nne Azam inafungwa na Simba msimu huu katika mechi tano walizokutana hadi sasa, baada ya awali kufungwa kwa penalti kwenye fainali ya Kombe la Urafiki, kufuatia sare ya 2-2, kufungwa 2-1 kwenye Nusu Fainali ya BancABC Sup8R na 3-2 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii, wakati wao walishinda 3-1 dhidi ya Wekundu hao wa Msimbazi, katika Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame.
 
Azam na Simba zitakutana tena katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, mzunguko wa kwanza, Oktoba 27, mwaka huu, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.     
 
Simba ndio inaongoza Ligi Kuu, hadi sasa ikiwa imeshinda mechi tano kati ya sita ilizocheza na moja tu imetoka sare, hivyo kujikusanyia pointi 16, wakati Azam inashika nafasi ya pili ikizidiwa pointi tatu, ingawa pia iko nyuma kwa mchezo mmoja.
 
Mbali na Sure, wachezaji wengine wa Azam ambao bado majeruhi ni Waziri Salum, Ibrahim Jeba, wakati Samir Haji Nuhu anatumikia adhabu ya kadi hajaenda pia Morogoro sawa na Jackson Wandwi na Hamisi Mcha ‘Vialli’, ambao hawamo kabisa kwenye mipango ya kocha katika mechi hiyo. 


Refa ‘ALIEIBEBA’ Barca Kifungoni!!


 
LIONEL_MESSIRefa wa Spain Mateu Lahoz amefungiwa baada ya kubainika kuwa alifanya makosa kwenye Mechi ambayo Barcelona iliifunga Sevilla Dakika za mwisho Bao 3-2 kwenye Mechi ya La Liga.


Chama cha Soka cha Spain, RFEF, kimemuadhibu Refa huyo kwa kumtoa nje kwa Kadi Nyekundi Mchezaji wa Sevilla Gary Medel baada ya kuvaana na Cesc Fabregas na pia kumtoa nje Kocha wa Sevilla Michel.


Pia Refa huyo amehukumiwa kwa kutokuona mpira ulioshikwa kwa mkono na Thiago wakati Barcelona wanaenda kufunga bao lao la ushindi kupitia David Villa.
RFEF imeamua kuwa makosa hayo hasa lile la kutolewa Gary Medel halikustahili na hivyo kumwadhibu Refa huyo.


Taarifa ya RFEF imesema: “Kulikuwa na kuvutana kwa Wachezaji wawili na wakagusana Vichwa bila kupigana kwa nguvu lakini Mchezaji mmoja akahadaa kapigwa. Gary Medel akatolewa na hilo ni kosa la kiufundi na halikustahili.”

Refa Mateu Lahoz sasa atatumikia Kifungo cha Mechi moja na ataikosa Mechi aliyopangiya ya Real Madrid v Celta Vigo hapo Oktoba 20.

Hadi sasa Barcelona ndio wanaongoza La Liga kwa kushinda Mechi 6 na sare moja waliyotoka na Mahasimu wao Real Madrid bao 2-2 Jumapili iliyopita.
Ligi hiyo kwa sasa ipo kando kupisha Mechi za Kimataifa zilizopo kwenye Kalenda ya FIFA na iatarudi tena kuanzia Wikiendi ya Oktoba 20.
 

KIRAFIKI: Brazil yaifumua Iraq 6-0!!


BRAZIL_SAMBA>>KAKA apiga Bao Mechi yake ya kwanza baada ya Miaka 2!!

Huko Malmo, Sweden, kwenye Uwanja wa Swedbank Arena, Brazil wameipiga Irag bao 6-0 katika Mechi ya Kirafiki.

Akicheza Mechi yake ya kwanza kwa Brazil baada ya Miaka miwili, Kaka alipiga bao moja na kuonyesha pia kiwango kizuri tu wakti aMchezaji mpya wa Chelsea, Oscar, ndie aliefungua njia kwa kupiga bao mbili za kwanza ndani ya Dakika 5.
++++++++++++++++++
Brazil:
MAGOLI:
-Dakika ya 22 & 27 Oscar
-48 Ricardo Kaka
-56 Givanildo Vieira Hulk
-75 Neymar Da Silva
-80 Lucas Moura
++++++++++++++++++
Brazil watasafiri hadi Nchini Poland kucheza Mechi nyingine ya Kirafiki na Japan hapo Jumanne Oktoba 16.

VIKOSI:
Brazil: Diego Alves, Adriano, David Luis, Marcelo, Thiago Silva, Kaka, Oscar, Paulinho, Ramires, Hulk, Neymar
Kocha: Mano Mezes


Iraq: Noor Sabri, Samal Saeed Mujbel, Basem Abbas, Salam Shakir, Khaldoun Ibrahim, Ali Rehema, Nashat Akram, Muthana Khalid, Ahmed Yasin, Hamady Ahmad, Younis Mahmoud Khalaf
Kocha: Zico
 

SIR BOBBY CHARLTON==MIAKA 75==’’HEPI BETHDEI!!’’


>>BADO MSHIKA REKODI MAGOLI: Man United 249, England 49!!
SIR_BOBBY_CHARLTON-1966Nguli Sir Bobby Charlton leo anasherehekea Siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza Miaka 75 huku akiwa bado anashikilia Rekodi ya kuwa Mfungaji Bora wa Manchester United, Mabao 249, na Timu ya Taifa ya England, Mabao 49, huku pia akiwa ni mmoja wa Waingereza wawili tu, mwingine ni Nobby Stiles ambae pia alichezea Man United, kushinda kwa pamoja Kombe la Dunia [Na England 1966] na Kombe la Klabu Bingwa Ulaya [Na Man United 1968].

Sir Bobby Charlton ambae alikuwa ni Kiungo, pamoja na Kaka yake Jackie Charlton aliekuwa Mchezaji wa Leeds United, walikuwemo kwenye Timu ya England iliyoshinda Ubingwa wa Dunia walipotwaa Kombe la Dunia Mwaka 1966 Uwanjani Wembley, London.FERGIE_N_CHARLTON1222

Alianza kuichezea Manchester United Mwaka 1956 na Mwaka 1958 alinusurika kwenye ajali ya Ndege iliyowabeba Timu ya Man United huko Munich, Germany na kuwaua Wachezaji kadhaa wa Timu hiyo.
++++++++++++++++++++++++
MENEJA NGULI wa Man United, Sir Matt Busby alitamka:
“Kitu kikubwa kwa Meneja ni kuamini vipaji alivyonavyo. Bobby Charlton hakusaliti imani hiyo. Ilikuwa ni tunu kuwa nae kuichezea Timu yako!”
++++++++++++++++++++++++
Sir Bobby Charlton ameichezea Man United Mechi 606 kati ya Mwaka 1956 na 1973 na ndie aliekuwa akishikilia rekodi ya kuichezea Mechi nyingi Klabu hiyo hadi ilipovunjwa na Ryan Giggs Tarehe 6 Machi 2011.
Mwaka 1994 alitunukiwa Cheo cha Sir na MalkIa Elizabeth wa Uingereza.
Hadi leo, Sir Bobby Charlton ni mmoja wa Wakurugenzi wa Manchester United.
HEPI BETHDEI SIR BOBBY CHARLTON toka kwa SOKA in BONGO!!
 

KOMBE LA DUNIA=ULAYA: Ijumaa Mechi KIBAO!!!


>>MVUTO: Russia v Portugal, Mabingwa Spain ugenini Belarus!!!
>>USHINDANI wa JADI: Wales v Scotland!!
>>SAFI: Serbia v Belgium, Republic of Ireland v Germany!!
>>MTEREMKO: England v San Marino!!
ENGLAND_IN_WEMBLEYIjumaa Ulaya itarindima kwa Mechi za Mchujo za Makundi kuwania kutinga Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2014 huko Brazil na zipo Mechi kadhaa zenye ladha tofauti.
Ipo ya Mabingwa watetezi wa Dunia, Spain, kuwa ugenini kucheza na Belarus, ipo ile ya ushindani wa jadi kati ya Wales na Scotland huku ‘Wapwa’ zao England, wakiwa Wembley wakiongozwa na ‘Nahodha mpya’ Wayne Rooney kuwakaribisha ‘vibonde’ San Marino lakini ile inayotegemea kuwa vuta nikuvute ni Russia v Portugal na, pengine, Serbia v Belgium.
Nyingine ambayo huenda ikawa safi ni ile itakayochezwa huko Dublin kati ya Republic of Ireland v Germany na pia ile ya Bulgaria v Denmark na Switzerland v Norway.
Baada ya Raundi hii ya Ijumaa, Mechi nyingine zitachezwa Jumanne Oktoba 16.

RATIBA MECHI ZOTE:
 ULAYA-Mechi za Makundi Kombe la Dunia 2014
[Saa za Bongo]
Ijumaa Oktoba 12
1800 Russia v Portugal
1830 Finland v Georgia
1900 Armenia v Italy
1900 Faroe Islands v Sweden
1900 Kazakhstan v Austria
2000 Albania v Iceland
2000 Czech Republic v Malta
2030 Liechtenstein v Lithuania
2030 Turkey v Romania
2100 Belarus v Spain
2100 Bulgaria v Denmark
2100 Moldova v Ukraine
2115 Slovakia v Latvia
2130 Estonia v Hungary
2130 Netherlands v Andorra
2130 Serbia v Belgium
2145 Greece v Bosnia-Hercegovina
2145 Rep of Ireland v Germany
2145 Wales v Scotland
2200 England v San Marino
2200 Luxembourg v Israel
2230 Macedonia v Croatia
2230 Switzerland v Norway
2245 Slovenia v Cyprus
Jumanne Oktoba 16
Albania v Slovenia
Andorra v Estonia
Belarus v Georgia
Belgium v Scotland
Bosnia-Hercegovina v Lithuania
Czech Republic v Bulgaria
Hungary v Turkey
Iceland v Switzerland
Israel v Luxembourg
Latvia v Liechtenstein
Macedonia v Serbia
Portugal v Northern Ireland
Romania v Netherlands
Russia v Azerbaijan
San Marino v Moldova
Slovakia v Greece
Spain v France
Ukraine v Montenegro
2000 Cyprus v Norway
2100 Faroe Islands v Rep of Ireland
2130 Austria v Kazakhstan
2130 Croatia v Wales
2145 Germany v Sweden
2145 Italy v Denmark
2200 Poland v England

FAHAMU:
-ULAYA yapo Makundi 9
-Washindi 9 wa kila Kundi wataingia Fainali moja kwa moja na Washindi wa Pili 8 bora wenye rekodi nzuri dhidi ya Timu zilizomaliza nafasi za Kwanza, Tatu, Nne na Tano kwenye Kundi lao watapelekwa kwenye Droo kupanga Mechi 4 za Mchujo, zitakazochezwa nyumbani na ugenini, ili kupata Timu nne zitakazoingia Fainali.
++++++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
KUNDI A
1 Serbia Mechi 2 Pointi 4
2 Belgium 4
3 Croatia 4
4 Scotland
5 FYROM 1
6 Wales 0
+++++++++++++++++++++++

KUNDI B
1 Italy Mechi 2 Pointi 4
2 Bulgaria 4
3 Armenia 3
4 Czech Mechi 1 Pointi 1
5 Denmark 1
6 Malta Mechi 2 Pointi 0
+++++++++++++++++++++++

KUNDI C
1 Germany Mechi 2 Pointi 6
2 Sweden Mechi 1 Pointi 3
3 Rep of Ireland 3
4 Austria 0
5 Kazakhstan Mechi 2 Pointi 0
6 Faroe Island Mechi 1 Pointi 0
+++++++++++++++++++++++

KUNDI D
1 Romania Mechi 2 Pointi 6
2 Netherlands 6
3 Hungary 3
4 Turkey 3
5 Estonia 0
6 Andorra 0
+++++++++++++++++++++++

KUNDI E
1 Switzerland Mechi 2 Pointi 6
2 Iceland 3
3 Albania 3
4 Cyprus 3
5 Norway 3
6 Slovenia 0
+++++++++++++++++++++++

KUNDI F
1 Russia Mechi 2 Pointi 6
2 Portugal 6
3 Luxembourg 1
4 Northern Ireland 1
5 Azerbaijan 1
6 Israel 1
+++++++++++++++++++++++

KUNDI G
1 Bosnia & Herzagovina Mechi 2 Pointi 6
2 Greece 6
3 Slovakia 4
4 Lithuania 1
5 Latvia 0
6 Liechtenstein 0
+++++++++++++++++++++++

KUNDI H
1 Montenegro Mechi 2 Pointi 4
2 England 4
3 Poland  4
4 Ukraine Mechi 1 Pointi 1
5 San Marino 0
6 Moldova Mechi 2 Pointi 0
+++++++++++++++++++++++

KUNDI I
1 France Mechi 2 Pointi 6
2 Spain Mechi 1 Pointi 3
3 Georgia Mechi 2 Pointi 3
4 Finland Mechi 1 Pointi 0
Belarus Mechi 2 Pointi 0
+++++++++++++++++++++++
BY TANO JUMA

KOMBE LA DUNIA=ULAYA: Ijumaa Mechi KIBAO!!!


>>MVUTO: Russia v Portugal, Mabingwa Spain ugenini Belarus!!!
>>USHINDANI wa JADI: Wales v Scotland!!
>>SAFI: Serbia v Belgium, Republic of Ireland v Germany!!
>>MTEREMKO: England v San Marino!!
ENGLAND_IN_WEMBLEYIjumaa Ulaya itarindima kwa Mechi za Mchujo za Makundi kuwania kutinga Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2014 huko Brazil na zipo Mechi kadhaa zenye ladha tofauti.
Ipo ya Mabingwa watetezi wa Dunia, Spain, kuwa ugenini kucheza na Belarus, ipo ile ya ushindani wa jadi kati ya Wales na Scotland huku ‘Wapwa’ zao England, wakiwa Wembley wakiongozwa na ‘Nahodha mpya’ Wayne Rooney kuwakaribisha ‘vibonde’ San Marino lakini ile inayotegemea kuwa vuta nikuvute ni Russia v Portugal na, pengine, Serbia v Belgium.
Nyingine ambayo huenda ikawa safi ni ile itakayochezwa huko Dublin kati ya Republic of Ireland v Germany na pia ile ya Bulgaria v Denmark na Switzerland v Norway.
Baada ya Raundi hii ya Ijumaa, Mechi nyingine zitachezwa Jumanne Oktoba 16.



RATIBA MECHI ZOTE:
ULAYA-Mechi za Makundi Kombe la Dunia 2014
[Saa za Bongo]
Ijumaa Oktoba 12
1800 Russia v Portugal
1830 Finland v Georgia
1900 Armenia v Italy
1900 Faroe Islands v Sweden
1900 Kazakhstan v Austria
2000 Albania v Iceland
2000 Czech Republic v Malta
2030 Liechtenstein v Lithuania
2030 Turkey v Romania
2100 Belarus v Spain
2100 Bulgaria v Denmark
2100 Moldova v Ukraine
2115 Slovakia v Latvia
2130 Estonia v Hungary
2130 Netherlands v Andorra
2130 Serbia v Belgium
2145 Greece v Bosnia-Hercegovina
2145 Rep of Ireland v Germany
2145 Wales v Scotland
2200 England v San Marino
2200 Luxembourg v Israel
2230 Macedonia v Croatia
2230 Switzerland v Norway
2245 Slovenia v Cyprus



Jumanne Oktoba 16
Albania v Slovenia
Andorra v Estonia
Belarus v Georgia
Belgium v Scotland
Bosnia-Hercegovina v Lithuania
Czech Republic v Bulgaria
Hungary v Turkey
Iceland v Switzerland
Israel v Luxembourg
Latvia v Liechtenstein
Macedonia v Serbia
Portugal v Northern Ireland
Romania v Netherlands
Russia v Azerbaijan
San Marino v Moldova
Slovakia v Greece
Spain v France
Ukraine v Montenegro
2000 Cyprus v Norway
2100 Faroe Islands v Rep of Ireland
2130 Austria v Kazakhstan
2130 Croatia v Wales
2145 Germany v Sweden
2145 Italy v Denmark
2200 Poland v England


FAHAMU:
-ULAYA yapo Makundi 9
-Washindi 9 wa kila Kundi wataingia Fainali moja kwa moja na Washindi wa Pili 8 bora wenye rekodi nzuri dhidi ya Timu zilizomaliza nafasi za Kwanza, Tatu, Nne na Tano kwenye Kundi lao watapelekwa kwenye Droo kupanga Mechi 4 za Mchujo, zitakazochezwa nyumbani na ugenini, ili kupata Timu nne zitakazoingia Fainali.
++++++++++++++++++++++++++++++


MSIMAMO:
KUNDI A
1 Serbia Mechi 2 Pointi 4
2 Belgium 4
3 Croatia 4
4 Scotland
5 FYROM 1
6 Wales 0
+++++++++++++++++++++++



KUNDI B
1 Italy Mechi 2 Pointi 4
2 Bulgaria 4
3 Armenia 3
4 Czech Mechi 1 Pointi 1
5 Denmark 1
6 Malta Mechi 2 Pointi 0
+++++++++++++++++++++++


KUNDI C
1 Germany Mechi 2 Pointi 6
2 Sweden Mechi 1 Pointi 3
3 Rep of Ireland 3
4 Austria 0
5 Kazakhstan Mechi 2 Pointi 0
6 Faroe Island Mechi 1 Pointi 0
+++++++++++++++++++++++


KUNDI D
1 Romania Mechi 2 Pointi 6
2 Netherlands 6
3 Hungary 3
4 Turkey 3
5 Estonia 0
6 Andorra 0
+++++++++++++++++++++++


KUNDI E
1 Switzerland Mechi 2 Pointi 6
2 Iceland 3
3 Albania 3
4 Cyprus 3
5 Norway 3
6 Slovenia 0
+++++++++++++++++++++++


KUNDI F
1 Russia Mechi 2 Pointi 6
2 Portugal 6
3 Luxembourg 1
4 Northern Ireland 1
5 Azerbaijan 1
6 Israel 1
+++++++++++++++++++++++


KUNDI G
1 Bosnia & Herzagovina Mechi 2 Pointi 6
2 Greece 6
3 Slovakia 4
4 Lithuania 1
5 Latvia 0
6 Liechtenstein 0
+++++++++++++++++++++++


KUNDI H
1 Montenegro Mechi 2 Pointi 4
2 England 4
3 Poland  4
4 Ukraine Mechi 1 Pointi 1
5 San Marino 0
6 Moldova Mechi 2 Pointi 0
+++++++++++++++++++++++


KUNDI I
1 France Mechi 2 Pointi 6
2 Spain Mechi 1 Pointi 3
3 Georgia Mechi 2 Pointi 3
4 Finland Mechi 1 Pointi 0
Belarus Mechi 2 Pointi 0

KOMBE la DUNIA: Rooney Kepteni Engand v San Marino!


ENGLAND_IN_WEMBLEY>>UWANJA: Wembley, London SIKU: Ijumaa Oktoba 12 SAA: 4 Usiku [Bongo]
Wayne Rooney ndie atakuwa Nahodha wa England kwenye Mechi ya Kundi H Kanda ya Ulaya la kuwania kutinga Fainali za Kombe la Dunia la 2014 huko Brazil dhidi ya San Marino itakayochezwa Uwanja wa Wembley mbele ya Mashabiki 90,000.
Rooney amepewa wadhifa huo kufuatia kutokuwepo kwa Nahodha Steven Gerrard na Msaidizi wake Frank Lampard kwa vile wote ni majeruhi.
+++++++++++++++++
REKODI ya SAN MARINO:
MECHI:
-Wamecheza: 114
-Ushindi: 1
-Sare: 5
-KUFUNGWA: 108
MAGOLI:
-Kufunga: 19
-Kufungwa: 473
+++++++++++++++++
Rooney, ambae ameichezea England mara 76, amesema : “Hiki ni kitu ambacho nina fahari nacho kubwa. Ni changamoto kubwa kwangu na nimefurahi. Tunategemea kumaliza Siku kwa ushindi.”
Ingawa England wanacheza na San Marino, Nchi ndogo Barani Ulaya iliyozungukwa na Italy na ambayo kwenye Listi ya FIFA ya Ubora Duniani wapo nafasi ya 207, ambayo ni ya mwisho, Rooney amesema Wachezaji hawatabweteka.
Amesema: “Wachezaji hawataki kuwaangusha Mashabiki. Tangu nianze kuichezea England, Mashabiki wamekuwa wazuri sana. Wanatufuata Dunia nzima. Tunatazamia Mechi nzuri na hatutawaangusha Mashabiki!”
+++++++++++++++++++++++

MSIMAMO:
KUNDI H
1 Montenegro Mechi 2 Pointi 4
2 England Mechi 2 Pointi 4
3 Poland Mechi 2 Pointi 4
4 Ukraine Mechi 1 Pointi 1
5 San Marino Mechi 1 Pointi 0
6 Moldova Mechi 2 Pointi 0
+++++++++++++++++++++++
Huko nyuma, Novemba 2009, Rooney aliwahi kuwa Nahodha wa England ilipofungwa na Brazil bao 1-0 katika Mechi iliyochezwa Doha, Qatar.
 

AFCON 2013: Liberia waahidiwa Dola Laki 3 wakiibwaga Nigeria Jumamosi!


>>ETO’O apigiwa goti kuiokoa Cameroun ifute kipigo 2-0 toka ‘Taifa Dogo’ Cape Verde!!
AFCON_2013-NORMALNchini Liberia imepita Harambee kubwa kuhakikisha Nchi hiyo inaitoa Nigeria kwenye Mechi ya marudiano kuwania kutinga Fainali za Kombe la Mataifa Januari 2013 huko Afrika Kusini, AFCON 2013, baada ya Wachezaji kuahidiwa kitita kinono cha Dola 300,000 lakini Mechi hiyo ya marudiano itachezwa huko Calabar, Nigeria huku matokeo ya Mechi ya kwanza yakiwa ni 2-2.
Pamoja na Mechi hiyo ya Nigeria na Liberia zipo Mechi nyingine 14 za marudiano ili kupata Timu 15 zitakazoungana na Wenyeji Afrika Kusini kucheza AFCON 2013 Mwezi Januari 2013.
Mbali ya Mechi hii, Mechi nyingine tamu ni ile itakayochezwa huko Yaounde, Cameroun ambako Kisiwa kidogo cha Cape Verde tayari washaicharaza Cameroun bao 2-0 na Taifa hilo kubwa limebidi limpigie magoti Supastaa Samuel Eto’o aje awaokoe baada ya yeye kufungiwa na kususa kuichezea Nchi yake alipofunguliwa.
Nyingine tamu ni marudiano ya Mabingwa wa Afrika, Zambia, na Uganda huko Kampala huku Zambia wakiwa mbele kwa bao 1-0.
++++++++++++++++++++++++++++++

AFCON 2013=Kombe la Mataifa ya Afrika
[Fainali Afrika Kusini-Januari 2013]
[Kwenye Mabano Matokeo Mechi za kwanza]
Jumamosi Oktoba 13

Malawi v Ghana [0-2]
Botswana v Mali [0-3]
Nigeria v Liberia [2-2]
Uganda v Zambia [0-1]
E.Guinea v Congo DR [0-4]
Senegal v Cote d'Ivoire [2-4]
Tunisia v Sierra Leone [2-2]
Morocco v Mozambique [0-2]


Jumapili Oktoba 14
Algeria v Libya [1-0]
Cameroon v Cape Verde [0-2]
Togo v Gabon [1-1]
Angola v Zimbabwe [1-3]
Niger v Guinea [0-1]
Ethiopia v Sudan [3-5]
Burkina Faso v Central African Republic [0-1]
FAHAMU: Washindi 15 wa Mechi hizi watajumuika na Wenyeji Afrika Kusini kwenye Fainali zitakazochezwa Afrika Kusini Januari 2013.
++++++++++++++++++++++++++++++
 

Ferguson aokota ‘Almasi’, Fellaini NJE, Sagna NDANI!


Habari toka huko Old Trafford zinasema Sir Alex Ferguson anaamini uamuzi wake wa kutumia Mfumo wa umbo la Almasi kwenye Kiungo cha Timu yake utaleta mafanikio Msimu huu wakati huko Liverpool, Klabuni Everton, kuna majonzi baada ya kupokea taarifa kuwa Kiungo wao na Mpiganaji mahiri, Marouane Fellaini, ameumia goti lakini toka Emirates kuna habari njema kuwa Fulbeki wao mzoefu, Bacary Sagna, yuko kwenye mazoezi makali akijifua ili arudi dimbani haraka.
Man United na Almasi
MAN_UNITED_ALMASISir Alex Ferguson ameubadilisha Mfumo wa uchezaji wa Timu yake na sasa, badala ya kutumia Mawinga wawili kama ilivyozoeleka, hutumia mtindo wa kuwa na umbo la Almasi kwenye Kiungo ambao husimama Mtu 4 wakiwa mbele ya Mabeki wanne na nyuma ya Mastraika wawili.
Mfumo huo ambao walianza kuutumia kwenye Mechi ya CAPITAL ONE CUP walipoifunga Newcastle, ukarudiwa ugenini kwenye UEFA CHAMPIONZ LIGI walipoifunga CFR Cluj bao 2-1 na majuzi ukaendelea tena huko St James Park walipoitwanga Newcastle bao 3-0 huku hiyo ‘Almasi’ ikiwa na Michael Carrick anaesimama mbele ya Mabeki wanne, Shinji Kagawa na Tom Cleverly wakicheza mbele ya Carrick na kubadilishana nafasi kulian na kushoto huku mbele yao akisimama Wayne Rooney ambae huwa nyuma tu ya Mastraika wawili Robin van Persie na Danny Welbeck.
Ferguson amesema kwenye Mechi na Newcastle Cleverley, Kagawa, Rooney na Carrick walimudu vyema kwenye Kiungo na ulikwa uamuzi wa busara kuutumia Mfumo huo mpya.
Fellaini aumia!
Kiungo wa Everton, Marouane Fellaini, amejitoa kwenye Kikosi cha Belgium ambacho kinajitayarisha kwa Mechi za Ijumaa na Jummane ijayo za Kombe la Dunia dhidi ya Serbia na Scotland baada ya kuumia goti.
Fellaini alipata maumivu hayo Jumamosi iliyopita Everton ilipocheza na Wigan kwenye Mechi ya Ligi Kuu England na Everton imesema haijulikani atakuwa nje kwa muda gani.
Hata hivyo Kambi ya Belgium imesema Mchezaji huyo atakuwa nje kwa Wiki 3 na hivyo kuzikosa Mechi za Everton dhidi ya QPR hapo Oktoba 21 na ile Dabi ya Liverpool dhidi ya Mahasimu wao Liverpool hapo Oktoba 28.
Kumkosa Fellaini ni pigo kubwa kwa Everton ambao wameanza vyema Msimu huu na wapo nafasi ya 4 kwenye Ligi Kuu baada ya kushinda Mechi 4, sare 2 na kufungwa moja tu.
Bacary Sagna
Bacary Sagna, ambae amepona baada ya kuvunjika mguu Mwezi Mei katika Mechi na Norwich, hataharakishwa kurudi Uwanjani bali ataimarishwa pole pole ili arudi na nguvu zaidi.
Sagna, ambae ameumia vibaya mara mbili ndani ya Mwaka mmoja, amesema yuko tayari kucheza ila bado anajiimarisha zaidi.
Wakati alipokosekana Sagna nafasi yake ilichukuliwa na Chipukizi Carl Jenkinson ambae amecheza vyema mno na Sagna amekiri hilo kwa kusema: “Amecheza vizuri sana na amejifunza mengi. Ametulia na ni Beki mzuri.”