Sunday, February 24, 2013

VPL: SIMBA HOI, YATUNGULIWA KIMOJA NA MTIBWA!


>>SIMBA WABAKI WA TATU, HATARINI KUNG’OLEWA NA COASTAL!
>>SIMBA NJE YA LIGI KUIFATA LIBOLO, MECHI INAYOFUATA MACHI 10 NA COASTAL UNIONI!!
UWANJA_WA_TAIFA_DARBAO la Dakika ya 16 la Salvatory Ntebe leo limewapa ushindi Mtibwa Sugar wa Bao 1-0 walipocheza na Mabingwa Simba kwenye Mechi ya VPL, Ligi Kuu Vodacom, iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na wao kupanda nafasi mbili hadi ya 5 kwenye Msimamo wa Ligi na kuiacha Simba nafasi ya 3 wakiwa hatarini kung’olewa na Coastal Union walio Pointi 1 nyuma na Mechi moja mkononi.
Simba, ambao wanasafiri kwenda Angola kurudiana na Clube Recreativo de Desportivo do Libolo ambayo ilishinda 1-0 katika Mechi ya Kwanza ya Raundi ya Awali ya CAF CHAMPIONZ LIGI, watarudi tena kwenye VPL hapo Machi 10 watakapokuwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kucheza na Coastal Union.
VPL: RATIBA/MATOKEO:
Jumapili Februari 24
SIMBA SC 0 MTIBWA SUGAR FC 1
Jumatano Februari 27
COASTAL UNION v RUVU SHOOTING [MKWAKWANI, TANGA]
YANGA v KAGERA SUGAR [UWANJA WA TAIFA,  DAR ES SALAAM]
POLISI MOROGORO v MGAMBO JKT [JAMHURI , MOROGORO]
JKT RUVU v TOTO AFRICANS [AZAM COMPLEX, DAR ES SALAAM]
MTIBWA SUGAR v TANZANIA PRISONS [MANUNGU, MOROGORO]
Jumamosi Machi 2
POLISI MOROGORO v JKT OLJORO [JAMHURI, MOROGORO]
Jumatano Machi 6
JKT OLJORO v TANZANIA PRISONS [SH. AMRI ABEID, ARUSHA]
AFRICAN LYON FC v RUVU SHOOTINGS [AZAM COMPLEX, DAR ES SALAAM]
MGAMBO JKT v MTIBWA SUGAR [MKWAKWANI, TANGA]
Alhamisi Machi 7
JKT RUVU v KAGERA SUGAR [AZAM COMPLEX, DAR ES SALAAM]
Jumamosi Machi 9
YOUNG AFRICANS v TOTO AFRICANS [UWANJA WA TAIFA, DAR ES SALAAM]
AZAM FC v POLISI MOROGORO [AZAM COMPLEX, DAR ES SALAAM]
Jumapili Machi 10
SIMBA SC v COASTAL UNION [UWANJA WA TAIFA, DAR ES SALAAM]
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
GD
PTS
1
YANGA
17
12
3
2
22
39
2
AZAM FC
18
11
3
4
16
36
3
SIMBA
18
8
7
3
11
31
4
COASTAL
17
8
6
3
6
30
5
MTIBWA
17
7
5
5
3
26
6
RUVU SHOOTING
15
7
3
5
3
24
7
KAGERA
16
6
6
4
2
24
8
JKT OLJORO
17
5
6
6
-1
21
10
MGAMBO
17
6
3
8
-5
21
9
PRISONS
18
4
7
7
-5
19
11
JKT RUVU
17
4
4
9
-13
16
12
TOTO
17
2
7
8
-11
13
13
LYON
17
3
3
11
-18
12
14
POLISI
16
2
5
9
-10
11

No comments:

Post a Comment