Monday, February 4, 2013

KOZI YA WAAMUZI MKOA WA TABORA INATARAJIA KUANZA KUFANYIKA MKOANI TABORA FEB 11 HADI FEB 30 MWAKA HUU


 http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2012/07/Marefa-nao-wali-warm-up2.jpg

 Chama cha waamuzi wa mpira wa miguu mkoa wa tabora FRAT kinatarajia kuanza kozi yake ya uamuzi mkoani tabora kuanzia tarehe 11 february 2013 hadi tarehe 30-2-2013 katika ukumbi  wa shule ya msingi Gongoni .

Mafunzo haya hayatazingatia umri au elimu ni kuanzia darasa la saba na kuendelea na katika kozi hiyo watapata barua au fomu ya kujaza kuja kushiriki kupitia kwa mwenyekiti wa wilaya  ya  tabora FRAT na kuzipeleka fomu hizo katika ofsi ya chama cha mpira wa miguu manispaa ya tabora iliyopo katika sanamu ya julius kambarage nyerere.

Washiriki waliodhibitisha mpaka sasa ni pamoja na mazoea ramadhani kutoka mwanza road,,wazile samwel nduguru kutoka milambo jeshini,,sada juma kutoka isevya,cheyo wilson songela kutoka milambp jeshini,,joyce masola kutoka ichemba,,sahina bisamka kutoka kiloleni,shabani kayala,meshaki mbelwa na yahya mwakasanga wote kutoka ichemba ,,saidy khamis kutoka mwanza road na mwene ufunguo kutoka kata ya gongoni.

Na kwa wale ambao nao wapo tayari kushiriki kozi hii ya uamuzi wa mkoa wa tabora wanaweza kujaza fomu zao kupitia kkwa mwenyekiti wa mkoa wa waamuzi FRAT Maulid Mwikalo barua pepe mwikalom@yahoo.com au kupiga simu namba 0767692010 &0716339980 au kupitia kwa katibu wa FRAT simu namba 0754384624 &0787384624 au 0655384624

No comments:

Post a Comment