Tuesday, January 29, 2013

AFCON 2013: GHANA, MALI ZAFUZU, CONGO DR, NIGER NJE!!


AFCON_2013-NA_KABUMBU_LIANZE>>ROBO FAINALI JUMAMOSI: GHANA v CAPE VERDE, AFRIKA KUSINI v MALI
LEO, KUNDI B walimaliza Mechi zao za Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2013, kwa Ghana kuichapa Niger Bao 3-0 na kuingia Robo Fainali wakiwa Washindi wa Kundi na Mali pia kufuzu baada ya kutoka sare ya Bao 1-1 na Congo DR.
+++++++++++++++++++++
KUNDI B
1 Ghana Mechi 3 Pointi 7
2 Mali Mechi 3 Pointi 4
3 Congo DR Mechi 3 Pointi 3
4 Niger Mechi 3 Pointi 1
+++++++++++++++++++++
Kwenye Robo Fainali ambazo zitachezwa Jumamosi Februari 2, Ghana watacheza na Cape Verde na Mali watawavaa Wenyeji Afrika Kusini.
Niger 0 Ghana 3
Bao za Ghana zilifungwa na Asamoah Gyan baada ya krosi ya Albert Adomah na la pili kufungwa na Christian Atsu alipopokea kris safi ya Asamoah Gyan.
Goli la 3 la Ghana lilipachikwa na John Boye baada ya kichwa cha Asamoah Gyan kutemwa na Kipa Dauouda.
VIKOSI:
Niger: Daouda, Bachard, Dankwa, Chicoto, Kourouma, Koudize, Soumaila, Lancina, Talatou, Maazou, Sidibe
Akiba: Alzouma, Kader, James, Laouali, Kamilou, Dante, Sakou, Boubacar, Alassane, William, Moutari.
Ghana: Dauda, Pantsil, Boye, Vorsah, Afful, Agyemang-Badu, Rabiu, Adomah, Asamoah, Atsu, Gyan
Akiba: Agyei, Richard Boateng, Awal, Annan, Derek Boateng, Akaminko, Asante, Clottey, Boakye, Mensah, Kwarasey.
Refa: Badara Diatta (Senegal)
Mali 1 Congo DR 1
DR Congo walitangulia kufunga Bao kwa Penati ya Dieumerci Mbokani baada ya Kiungo wa Mali Momo Sissoko kumwangusha Yves Diba lakini muda mfupi baadae Mahamadou Samassa akasawazisha kwa Mali.
VIKOSI:
DR Congo: Kidiaba, Mongongu, Kasusula, Issama, Zakuani, Mulumbu, Makiadi, Ilunga, Kaluyituka, Mbokani, LuaLua
Akiba: Mandanda, Kabangu, Mabiala, Manzia, Mputu, Zola, Kanda, Mulemo, Mbemba, Luvumbu, Kisombe, Bakala.
Mali: Mamadou Samassa, Diawara, Adama Coulibaly, Wague, Tamboura, Keita, Sissoko, Sow, Samba Diakite, Mahamadou Samassa, Maiga
Akiba: Soumaila Diakite, Idrissa Coulibaly, Cheick Diarra, Kalilou Traore, Diabate, Sigamary Diarra, Yatabare, Mahamane Traore, Salif Coulibaly, N'Diaye, Ousmane Coulibaly, Yirango.
Refa: Djamel Haimoudi (Algeria)
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
KUNDI A
1 South Africa Mechi 3 Pointi 5
2 Cape Verde Mechi 3 Pointi 5
3 Morocco Mechi 3 Pointi 3
4 Angola Mechi 3 Pointi 1
KUNDI B
1 Ghana Mechi 3 Pointi 7
2 Mali Mechi 3 Pointi 4
3 Congo DR Mechi 3 Pointi 3
4 Niger Mechi 3 Pointi 1
KUNDI C
1 Burkina Faso Mechi 2 Pointi 4
2 Nigeria Mechi 2 Pointi 2
3 Zambia Mechi 2 Pointi 2
4 Ethiopia Mechi 2 Pointi 1
KUNDI D
1 Ivory Coast Mechi 2 Pointi 6
2 Tunisia Mechi 2 Pointi 3
3 Togo Mechi 2 Pointi 3
4 Algeria Mechi 2 Pointi 0
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
RATIBA/MATOKEO:
[SAA za BONGO]
Jumamosi Januari 19
South Africa 0 Cape Verde Islands 0
Angola 0 Morocco 0
Jumapili Januari 20
Ghana 2 Congo DR 2
Mali 1 Niger 0
Jumatatu Januari 21
Zambia 1 Ethiopia 1
Nigeria 1 Burkina Faso 1
Jumanne Januari 22
Ivory Coast 2 Togo 1
Tunisia 1 Algeria 0
Jumatano Januari 23
South Africa 2 Angola 0
Morocco 1 Cape Verde Islands 1
Alhamisi Januari 24
Ghana 1 Mali 0
Niger 0 Congo DR 0
Ijumaa Januari 25
Zambia 1 Nigeria 1
Burkina Faso 4 Ethiopia 0
Jumamosi Januari 26
Ivory Coast 3 Tunisia 0
Algeria 0 Togo 2
Jumapili Januari 27
Morocco 2 South Africa 2
Cape Verde Islands 2 Angola 1
Jumatatu Januari 28
Congo DR 1 Mali 1 
Niger 0 Ghana 3
Jumanne Januari 29
Ethiopia v Nigeria [Royal Bafokeng Stadium Saa 2 Usiku]
Burkina Faso v Zambia [Mbombela Stadium Saa 2 Usiku]
Jumatano Januari 30
Algeria v Ivory Coast [Royal Bafokeng Stadium Saa 2 Usiku]
Togo v Tunisia [Mbombela Stadium Saa 2 Usiku]
ROBO FAINALI
Jumamosi Februari 2
Ghana v Cape Verde [Nelson Mandela Bay Stadium Saa 12 Jioni]
Afrika Kusini v Mali [Moses Mabhida Stadium Saa 3 na Nusu Usiku]
Jumapili Februari 3
Mshindi Kundi D v Mshindi wa Pili Kundi C [Royal Bafokeng Stadium Saa 12 Jioni]
Mshindi Kundi C v Mshindi wa Pili Kundi D [Mbombela Stadium Saa 3 na Nusu Usiku]
NUSU FAINALI
Jumatano Februari 6
Mshindi RF 3 v Mshindi RF 2 [Mbombela Stadium Saa 12 Jioni]
Mshindi RF 1 v Mshindi RF 4 [Moses Mabhida Stadium Saa 3 na Nusu Usiku]
MSHINDI wa TATU
Jumamosi Februari 9
[Nelson Mandela Bay Stadium Saa 3 Usiku]
FAINALI
Jumapili Februari 10
[Soccer City Saa 3 Usiku]

No comments:

Post a Comment