Monday, February 4, 2013

ULAYA: DORTMUND WATWAA NAFASI YA PILI, TUTA LA MESSI LAIOKOA BARCA!

>>DORTMUND WAIPIGA LEVERKUSEN NA KUTWAA NAFASI YA PILI!
>>JUVE YABAKI KILELENI SERIE A!
BORUSSIA_DORTMUND_JUKWAANDANI ya ESTADIO MESTALLA, Ever Banega aliipatia Valencia Bao kwenye Dakika ya 33 lakini  Lionel Messi akasawazisha kwa Penati ya Dakika 39 na kuwapa Vinara wa La Liga, Barcelona, sare ya Bao 1-1 na huko Germany, kwenye Bundesliga, Mabingwa watetezi Borussia Dortmund wameichapa Bayer Leverkusen, waliokuwa nyumbani, Bao 3-2 na kuwapiku nafasi ya pili huku huko Italy, Vinara na Mabingwa watetezi, Juventus, wakicheza ugenini, waliifunga Chievo Verona Bao 2-1 na kuendelea kukaa kileleni wakiwa Pointi 3 mbele ya Napoli.
HUKO GERMANY, Borussia Dortmund walitangulia Bao 2-0 kwa Bao za Marco Reus, dakika ya 3, na Jakub Blaszczykowski, Dakika ya 9, lakini Bayer Leverhusen wakasawazisha kwa Bao mbili za Stefan Reinartz za Dakika ya 58 na 62.
Hata hivyo, Straika hatari wa Borussia Dortmund, Robert Lewandowski, alipiga Bao la 3 na la ushindi katika Dakika ya 63.
LA LIGA
RATIBA/MTOKEO:
Jumapili Februari 3
Malaga 1 Real Zaragoza 1
Sevilla 2 Rayo Vallecano 1
Valencia 1 Barcelona 1
Atletico Madrid v Real Betis [Saa 5 Usiku]
Real Socieda v Real Mallorca [Saa 5 Usiku]
BUNDESLIGA
RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Februari 2
Schalke 1 SpVgg Greuther Furth 2
VfL Wolfsburg 1 FC Augsburg 1
FSV Mainz 0 Bayern Munich 3
TSG Hoffenheim 2 SC Freiburg 1
Fortuna Dusseldorf 3 VfB Stuttgart 1
Hamburger SV 0 Eintracht Frankfurt 2
Jumapili Februari 3
FC Nuremberg 2 Borussia Mönchengladbach 1
Bayer 04 Leverkusen 2 BV Borussia Dortmund 3
MSIMAMO-Timu za Juu:
[Kila Timu Mechi 20]
1 Bayern Munich Pointi 51
2 Borussia Dortmund 39
3 Bayer Leverkusen 37
4 Eintracht Franhfurt 36
5 Mainz 30
SERIE A
RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Februari 2
Torino 0 Sampdoria 0
Napoli 2 Catania 0
Jumapili Februari 3
Chievo Verona 1 Juventus 2
Siena 3 Inter Milan 1
Pescara 2 Bologna 3
Palermo 1 Atalanta 2
Genoa 3 SS Lazio 2
Fiorentina 2 Parma 0
AC Milan 2v Udinese1
MSIMAMO-Timu za Juu:
[Kila Timu Mechi 23]
1 Juventus Pointi 52
2 Napoli 49
3 Lazio 43
4 Inter Milan 40
5 Fiorentina 39
6 AC Milan Mechi 22 Pointi 37

No comments:

Post a Comment