Monday, January 21, 2013

KIGGI NA KIEMBA WAIOKOA SIMBA KUDUNDWA NA WAOMAN HIYO JANA NA KUIBUKA NA USHINDI WA 2-1


TIMU ya Simba jana imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ahli Sidab ya daraja la kwanza ya Oman...Wenyeji hao walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa Mbrazil, Lopez lakini Kiggi Makasi akasawazisha na kipindi cha pili Amri Kiemba akapachika bao la pili...Wachezaji watatu wa kikosi cha kwanza Boban, Mwinyi na Kazimoto walikuwa nje, Sunzu hakucheza na Abel Dhaira





No comments:

Post a Comment