Monday, January 21, 2013

CLINT DEMPSEY AINUSURU TOTTENHAM NA KUTOKA SARE NA MASHETANI WEKUNDU JANA NA KUENDELEA KUONGOZA KWA REKODI KWA MAN U KWANI MECHI YA KWANZA MAN U ALITANDIKWA NA HII SARE




Delight: Dempsey celebrates his last-gasp equaliser
 >>MAN UNITED YABAKI JUU KILELENI POINTI 5 MBELE!
Bao la Dakika ya 92 la Clint Dempsey limewapa Tottenham sare ya 1-1 walipocheza na Vinara wa BPL, Barclays Premier League, Manchester United, Uwanja wa White Hart Lane uliokuwa ukiandamwa na kuanguka kwa Barafu na kuwafanya wawe Pointi 5 mbele ya Timu ya Pili, Manchester City.

MSIMAMO-Timu zaJuu:
1 Man United Mechi 23 Pointi 56
2 Man City  Mechi 23 Pointi 51
3 Chelsea  Mechi 23 Pointi 45
4 Tottenham  Mechi 23 Pointi 41
5 Everton  Mechi 22 Pointi 37
6 Arsenal  Mechi 22 Pointi 34
7 Liverpool  Mechi 23 Pointi 34
8 West Brom Mechi 23 Pointi 34
9 Swansea  Mechi 23 Pointi 33
10 Stoke Mechi 23 Pointi 29

Robin van Persie, aliefunga Bao lake la 22 Msimu huu, ndio aliwapeleka Man United kwa Bao 1-0 alipofunga Bao la kichwa katika Dakika ya 25
Clinical: Robin van Persie scored his 22nd goal of the season after 25 minutesWayne Rooney, alieingizwa Kipindi cha Pili, alishuhudia akinyimwa Penati baada ya kuangushwa ndani ya Boksi.
Kwa wengi matokeo haya ya sare yalikuwa ni sawa hasa ukizingatia Mechi yenyewe ilikuwa nusura iahirishwe kutokana na kuanguka kwa Barafu nyingi kabla ya kuanza lakini ukaguzi wa Uwanja kabla ya Mechi wa Refa Chris Foy ulitoa uamuzi Mechi iendelee.
VIKOSI:
Tottenham: Lloris, Walker, Dawson, Caulker, Naughton, Lennon, Parker, Dembele, Bale, Dempsey, Defoe
Akiba: Friedel, Vertonghen, Huddlestone, Sigurdsson, Livermore, Townsend, Assou-Ekotto.
Man United: De Gea, Da Silva, Ferdinand, Vidic, Evra, Jones, Carrick, Cleverley, Kagawa, Welbeck, van Persie
Akiba: Lindegaard, Valencia, Anderson, Rooney, Giggs, Smalling, Hernandez.
Refa: Chris Foy
+++++++++++++++++++++++
BPL, BARCLAYS PREMIER LEAGUE
RATIBA:
Jumatatu Januari 21
[SAA 5 Usiku]
Southampton v Everton
Jumatano Januari 23
[SAA 4 Dak 45 Usiku]
Arsenal v West Ham
Jumanne Januari 29
[SAA 4 Dak 45 Usiku]
Aston Villa v Newcastle
QPR v Man City
Stoke v Wigan
Sunderland v Swansea
Jumatano Januari 30
[SAA 4 Dak 45 Usiku]
Arsenal v Liverpool
Everton v West Brom
Norwich v Tottenham
[SAA 5 Usiku]
Fulham v West Ham
Man United v Southampton
Reading v Chelsea
Jumamosi Februari 2
[SAA 9 Dak 45 Mchana]
QPR v Norwich
[SAA 12 Jioni]
Arsenal v Stoke
Everton v Aston Villa
Newcastle v Chelsea
Reading v Sunderland
West Ham v Swansea
Wigan v Southampton
[SAA 2 na Nusu Usiku]
Fulham v Man United
Jumapili Februari 3
[SAA 10 na Nusu Jioni]
West Brom v Tottenham
[SAA 1 Usiku]
Man City v Liverpool


No comments:

Post a Comment