Monday, December 31, 2012

GAZETI LA ;daily mail

 
Streka wa Newcastle United  Demba Ba, 27, yupo karibu kujiunga na chelsea kwa euro  £7.5m-january kw akusaini miaka mitatu kuichezea timu ya chelsea katika dimba la t Stamford Bridge.
Demba Ba
Demba Ba has scored BA ameshafunga bao 13 msimu huu kwa newcastle
Midfielder wa Liverpool Joe Cole, 31, anatarajia kujiunga na timu ya QPR january na wapo katika mazungumzo ya kumuuza QPR kwa bossi Harry Redknapp
Kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Italy  Marcello Lippi wameshakubaliana na AC Milan kumsainisha  mshambuliaji wa Shanghai Shenhua na mshambuliaji wa -Chelsea  Didier Drogba, 34.
QPR january watampa  manager wao  Harry Redknapp £20m kwa ajili ya kumsainisha  midfielder wa Rennes ya Ufaransa Yann M'Vila, 22, na Mshambuliaji  wa Marseille  Loic Remy, 25, na  midfielder wa West Ham united  Mohamed Diame, 25.

SEHEMU NYINGINE

Midfielder wa Real Madrid ya Hispania na midfielder wa zamani wa  Liverpool  Xabi Alonso, 31, anataka kurudi   Premier League.
Klabu ya Arsenal imempa mshambuliaji wao  Theo Walcott, 23,weeks 2 ili asaini mkataba mpya wa kalabu hiyo.


No comments:

Post a Comment