Sunday, September 30, 2012

Sep 30, 2012

♠ MWONEKANO WA KANGA FASHION COMPETITION NA MSHINDI KAPATIKANA

WASHINDI WA 3 WA KANGA FASHION COMPETITION 2012 TABORA
HAPA NI TOP 5 KATI YA WASHIRIKI 9
WASHIRIKI WAKITUMBUIZA
WASHIRIKI WAKITOKELEZEA NA MBUNIFU WAO
NDANI YA POZI NA DJ KALI WA CG FM
SHABIKI AKIPOKEA ZAWADI ILIYOTOLEWA KWA ALIYEKUWA WA KWANZA KUFIKA ENEO LA TUKIO (Apewa asali Lita 3)
MKURUGENZI WA SALU SECURITY AKITOA ZAWADI KAMA SUPRISE
MAMA NI ZAKO HIZO ZOTE
WANACHUO NAO WALIPEWA ZAWADI YA KANGA
 
 MATUKIO MENGINE YANAKUJIA HIVI PUNDE..........USIKOSE KUBOFYA BLOG YA TANO JUMA IN SPORTS UTAYAONA MENGINE

No comments:

Post a Comment