Mwenyekiti
wa Yanga, Yussuf Manji akizungumza na Wazee wa klabu hiyo mida hii,
makao makuu ya klabu, makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es
Salaam. Kueleka mchezo na Simba Oktoba 3, mwaka huu, tayari Manji
amekutana na wachezaji, Matawi na Vijana kujadiliana nao mambo
mbalimbali ya kufanikisha ushindi. |
No comments:
Post a Comment