Monday, January 21, 2013

KATIBU WA ZAMANI WA TAREFA BW,ALBERT LULYALYA SITTA AKABIDHI NYARAKA ZA TAREFA KWA KATIBU MPYA FATTEH DEWJI REMTULA



Katibu wa zamani wa TAREFA bw. Albert Lulyalya Sitta amekabidhi vifaa vya mpira wa miguu na nyaraka za TAREFA kwa katibu wa sasa wa tarefa bw. FATTY DEWJI REMTULA tarehe ya 21/1/2013 toka aenguliwe katika uchaguzi uliofanyika siku ya jumamosi ya dec.22 mwaka jana 2012 katika ukumbi wa TUWASA mkoani tabora.


Katibu huyo alikuwa ameving'ang'ania vitu hivyo kutokana nakuenguliwa katika uchaguzi uliofanyika tarehe 22 dec,2012 na kutoa kabisa matumaini yake aliyokuwa anaamini kuwa mpinzani wake angembwaga lakini mambo yakawa tofauti kwani alibwagwa na mpinzani wake kwa kura 17 yeye akipata kura 7.

Vitu alivyokabidhi ni pamoja na Hati ya usajili wa chama cha mpira wa miguu mkoa w atabora TAREFA yenye na,1985 ya tarehe 5/2/2007,Katiba ya TAREFA,Mhuri wa TAREFA,Meza kubwa na meza ndogo [DESK],Kabati kubwa za mafaili 2,computer  moja mpya aina ya DELL,Printer moja aina ya DELL,Scanner moja mpya aina ya DELL,Majalada mbalimbali ya TAREFA,Jezi za njano 13,Bukta nyeupe na blue 10,stockings 8 na vishina 12 na vitabu 6 vya tiketi za kiingilio mpirani


 


KATIBU WA ZAMANI WA TAREFA BW.ALBERT SITTA AKIWA OFISINI KWAKE TAYARI KUKABIDHI NYARAKA ZA TAREFA KWA KATIBU MPYA WA TAREFA BW FATTY DEWJ REMTULA
 
BWANA ALBERT LULYALYA SITTA KATIBU WA ZAMANI W ATAREFA


KATIBU MKUU WA TUFA MKOANI TABORA NAYE ALIKUWEPO KATIKA MAKABIDHIANO HAYO

 
KATIBU WA SASA WA TAREFA BW.FATTY DEWJ REMTULA AKISOMA MOJA YA NYARAKA ZA TAREFA ALIZOKABIDHIWA

WA KWANZA KUTOKA KUSHOTO NI KATIBU WA SASA WA TAREFA BW.FATTY REMTULA NA ANAYEFUATIA NI KATIBU WA CHAMA CHA SOKA WILAYA YA TABORA MJINI  TUFA BW.JUMA MAPUNDA
 
HAPA WANAJADILIANA MOJA YA HOJA KALI KUHUSIANA NA VIFAAA HIVYO

HAPA UNAZANI HUYO KATIBU WA ZAMANI ANAFIKIRIA NINI MCHEKI ALIVYOMPIGA JICHO KATIBU WA SASA CHEZEA WEIYE UONGOZI BALAAAA
 
HIVI NI BAADHI YA JEZI NA BUKTA PAMOJA NA SOKISI ALIZOKUWA ANAZO KATIBU WA ZAMANI NAVYO KAVIKABIDHI
 
KATIBU WA TUFA BW.JUMA MAPUNDA AKIWA AMENYANYUA JEZI HIZO KUASHILIA KUWA WAMEKABIDHIWA NA KATIBU WA ZAMANI MZEE ALBERT LULYALYA SITTA HII LEO MUDA WA SAA NNE ASUBUHI

WAPO KATIKA MAKABIDHIANO YA NYARAKA ZA TAREFA

 
ILIKUWA NI LONG PROCESS KATIKA MAKABIDHIANO HAYO SIYO KIENYEJI ENYEJI

 
KAMA KAWAIDA MZEE WA MAKEKE KATIBU WA TUFA BWANA JUMA MAPUNDA AKIWA AMEHAKIKI HIZO VISHINA NA TIKETI VYA TAREFA

KAMA KAWAIDA GLOBALIZATION WAS TAKE PLACE WATU NA MAWASILIANO KWANI MWANZO ILIKUWAGA HIVI KUWA NA SIMU?

 
KATIBU WA ZAMANI WA TAREFA WA KWANZA KULIA BW ALBERT SITTA WAKIPEANA MIKONO NA KATIBU WA SASA WA TAREFA FATTY DEWJ REMTULA KATIKA OFISI YA KATIBU WA ZAMANI WA TAREFA HUYO,,,,,,,,,,,,,,,MAMBO YAMEISHA KIANAUMEE

 >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
 SIKU YA MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI TENDAJI ILIPOKUTANA KUJADILI KUHUSIANA NA SOKA LA MKOANI TABORA NA KUJADILI KUHUSIANA NA KATIBU WA ZAMANI KUKABIDHI NYARAKA ZA TAREFA KWA KATIBU WA SASA BW.FATTEH DEWJ REMTULA


   

HII NDIVYO HOTELI WALIYOFANYIA WAJUMBE WA KAMATI TENDAJI YA TAREFA MKOA WA TABORA LEO

 
KAMATI TENDAJI IKIPATA BREAKFAST KATIKA HOTELI YA KITALII YA FRANKMAN


BWANA KITUMBO HUYO WA KWANZA KULIA AKIWA TAYARI KWA KUPATA BREAKFAST
 
WA KWANZA KUTOKA KUSHOTO NI KATIBU MKUU WA TAREFA BWANA FATTY DEWJ REMTULA AKIMSIKILIZA KWA UMAKINI MWENYEKITI WA TAREFA BWANA YUSUPH KITUMBO


KATIBU MKUU WA TAREFA FATTY DEWJ REMTULA AKIWA ANAANDIKA MOJA YA HOJA TOKA KWA WAJUMBE WA KAMATI TENDAJI


BI JANETH MICHAEL MWAKILISHI W AVILABU KWA WANAWAKE AKIWA ANAPATA MENYU
 
BWANA KITUMBO NA JOPO LAKE LA KAMATI TENDAJI YA TAREFA WAKIPATA BREAKFAST KWA PAMOJA KATIKA HOTELI YA FRANKMAN


KATIBU MKUU WA TAREFA FATTY DEWJ REMTULA AKIJIVINJALI KWA BREAKFAST KATIKA MKUTANO WAO WA KAMTI TENDAJI
 
WAHUDUMU WA FRANKMAN PALACE HOTELI

 
KATIBU WA TUFA JUMA MAPUNDA W AKWANZA KUTOKA KULIA,BW.KABEPELE ,BI.JANETH MAICHAEL NA RAZACK HUMBA WAKIMSIKILIZA KW AUNDANI MWENYEKITI WA TAREFA KITUMBO


MJUMBE WA KAMATI TENDAJI YA TAREFA DICK MLIMKA AKITOA HOJA KWA WAJUMBE WALIOHUDHURIA KIKAO HICHO
 
KIJANA MDOGO KWA WENYEKITI WA MIKOA TANZANIA NZIMA BW.YUSUPH KITUMBO AKIJADILIANA NA WAJUMBE ILI KUONDOA TASWIRA MBAYA YA SOKA LA MKOA W ATABORA

KAMA KAWAIDA ANAONGEA KWA UCHUNGU ILI SOKA LA MKOA WA TABORA LIWE NA TASWIRA NZURI KWA WANATABORA

MWENYEKITI WA TAREFA  YUSUPH KAHAMIS KITUMBO NA  KATIBU WAKE BWANA FATTY DEWJ REMTULA

No comments:

Post a Comment