Sunday, September 30, 2012


KIKOSI CHA PAMBA FC MIAKA YA '80


Waliosimama toka kushoto - Madatta Lubigisa, Rajabu Musoma, Beya Simba, Nteze John “Lungu”, Kitwana Selemani “Popat”, Fumo Felician (Mzee wa mishuti), Pascal Mayala, Paul Rwechungura.

Waliokaa toka kushoto- George Gole, Khalfan Ngassa (mzee wa makanzu), Ally Bushiri, Alphonse Modest (beki mtulivu), Mao Mkamy (Ball Dancer), Saleh Muhammad (aliziba pengo la masatu), Hamisi Nyembo, Nico Bambaga

Hawani baadhi ya wachezaji tu nikukumbushe ambao walishawahi kung'ara na timu ya PAMBA FC ya mwanza na katika zunguka yangu ya huku na kule  tumekutana na mchezaji ambaye alishawahi kung'ara tanzania ni NTEZE JOHN LUNGU wa nne kutoka kushoto ambaye alishawahi kuichezea timu ya yanga 
BY tano juma 

No comments:

Post a Comment