Monday, January 21, 2013

KAGERA SUGAR YAWAFUNZA RHINO RANGERS KUPIGA KWATA HII LEO ALLY HASSAN MWINYI.


 

 Timu ya kagera sugar leo imewachezesha kwata wanajeshi wa mkoani tabora rhino rangers kw akuwafunga mabao 3-1 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika dimba la ally hassan mwinyi kuanzia majira yaa saa kumi na nusu za jioni ya leo.

Timu ya kagera sugar ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa winga wao mwenye mbio kama farasi julius mrope aliyewazidi maarifa wachezaji w atimu ya rhino rangers na kumtungua golikipa w arhino Iddy kihulya,

Rhino rangers walicharuka na kuanza kulisakama lango la kagera sugar na walifanikiwa kuliona lango hilo kupitia kwa mshambuliaji wao hatari sady kibanga aliyeunganisha krosi murua kutoka kwa beki mwenye mapafu ya mbwa stanlaus mwakitosi.

Nao kagera sugar walicharuka kuanza kulishambulia lango la rhino na Kutokana na uzembe wa golikipa w arhino rangers iddy kihulya kuliweza kuwapa mwanya tena kagera sugar baada ya kutoka langoni na wilfredy emme kupachika bao la pili kw aupande w akagera sugar.

Naye winga teleza aliyekuwa  anacheza winga ya kushoto paul kabange aliiandikia timu ya kagera sugar bao la tatu na la ushindi kwao alipoachia shuti kali lililomshinda mlinda mlango na kujaa nyavuni moja kwa moja.

Hadi dakika 90 za mchezo zinamalizika timu ya kagera sugar ilitoka kifua mbele kwa mabao 3-1 dhidi ya maafande hao wa jeshi la wananchi rhino rangers na kesho wanatarajia kumaliza mechi zao za kirafiki hapa mkoani tabora kwa kucheza na timu ya maafande wa polisi polisi tabora katika dimba hilo hilo la ally hassan mwinyi kuanzia majira ya saa kumi na nusu za jioni na jumatano kutakuwa na mtanange kati ya wanakisha mapanda toto african ya mwanza na timu ya rhino rangers ya kuashiria kuelekea katika duru la pili la michuano ya VPL na ligi daraja la kwanza FDL
.
wachezaji wa kagera suga walioanza leo ni.
KAGERA SUGAR+Andrew ntala,benjamin asukile ,salum kanoni,benjamin effe,amandus nesta,goerge kavilla,julius mrope,juma nande,themi felix,daud jumanne na juma mpola.
Walioingia kipindi cha pili ni timu nzima tena nao ni,>>>>>>>

Adam oseja,luhende kanyata,lamban kambole ,malegesi mwangwa,martini muganyizi ,zubery dabi,wilfredy emme,mecky maiko,rashid mandawa,paul kabange na paul ngwai.
RHINO RANGERS +Iddy kihulya,joseph salanganda,frank kohe,issa salum,julius masunga,stanslaus mwakitosi,ally mwanyiro,salum majid[chuji],victor hangaya,bakary mahadhi na sady kibanga.

 
TIMU YA KAGERA SUGAR WAKIWA MAZOEZINI KABLA YA MCHEZO KUANZA


WACHEZAJI W ARHINO RANGERS WAKIPASHA KABLA YA MCHEZO KUANZA
 
TIMU ZIMEJIPANGA TAYARI KW AMCHEZO W ALEO KATIKA DIMBA LA ALLY HASSAN  MWINYI JIONI YA LEO KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI.

 
WACHEZAJI W ARHINO RANGERS WALIOANZA HII LEO TAYARI KWA MCHEZO WAO DHIDI YA KAGERA

MWENYEKITI WA CCM MKOA WA TABORA AKISALIMIANA NA KIUNGO SALUM MAJID ARI MAARUFU CHUJI

TAYARI KWA GAME HAPA WACHEZAJI WANAPEANA MKONO KUASHIRIA FAIR PALY KATIKA MCHEZO W AKIRAFIKI

 
GOLIKIPA NO.MOJA W AKAGERA SUGAR ANDREW NTALA AKIPEANA MKONO NA CHUJI WA RHINO RANGERS

WINGA TELEEEEEEEEEEEEZA JULIUS MROPE WAKIPEANA MKONO NA CHUJI TAYARI KWA MECHI HIYO HII LEO KATIKA DIMBA LA ALLY HASSAN MWINYI
 
THEMI  FELIX MWENYE JEZI NO .7 MGONGONI AMESALIMIANA NA SALUM MAJID ARI MAARUFU CHUJI TAYARI KWA MCHEZO








KAMA UWANJA W ATAIFA UNAVYOONEKANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
WATU WALIKUWA WAMEFURIKA ILE MBAYA KUWEZA KUWAONA WACHEZAJI W AKAGERA SUGAR WANACHEZAJI TOKA ENZI ZA MIRAMBO ILIPOSHUKLA DARAJA MAMBO YAKAWA YAMEKWISHA MPAKA SAA IV WAMEANZA TENA KURUDI KUIPA SAPORT RHINO IPANDE
 
HAPA BAADA JULIUS MROPE KUUMIA AKIWA ANATIBIWA WACHEZAJI WANAPEWA MANENO NA KOCHA WAO MWL.MAYUNGA SHIJA

 
JULIUS MROPE HUYO AMETIBIWA NA ANATOKA NJE TENA ARUDI KUASHIRIA KUWA AMEPONA


UWANJA ULIKUWA UMEFURIKA ILE MBAYA KAMA UNAVYOONEKANA KATIKA JUKWAA KUU

BAADA YA MPIRA KUMALIZIKA WAKAZI W ATABORA KILA MMOJA ALIKUWA NA UCHI ANGALAU W AKUSALIMIANA NA MCHEZAJI MMOJA W AKAGERA SUGAR USTAAAAAAAAA NOMAAAA
 
HAPA KATIBU W ATAREFA BW.FATTY DEWJ REMTULA AKIWAANAHESABU PESA ZILIZOPATIKA CHUMBANI NA ULINZI ULIKUWA WA KUTOSHA .

 
ZILIPATIKANA SHILINGI MILIONI 1,630,000 BAADA YA KUINGIA WATAZAMAJI 1630 WALIOINGIA KWA SHILINGI 1000 KILA MMOJA MTOTO IWE MKUBWA  HIYOOOOOOOOOO

No comments:

Post a Comment