!
>>KESHO, ARSENAL, MAN UNITED DIMBANI NYUMBANI!!
>>PATA RATIBA KAMILI RAUNDI YA 4 FA CUP
MECHI ZA MARUDIANO- FA CUP-Raundi ya 3
Jumanne Januari 15
[SAA 4 Dak 45 Usiku]
Birmingham v Leeds
Bournemouth v Wigan
Brentfaud v Southend
Leyton Auient v Hull
Wimbledon v Sheffield Wed
Stoke v Crystal Palace
Sunderland v Bolton
[SAA 5 Usiku]
Blackpool v Fulham
West Brom v QPR
LEO Usiku zipo Mechi 9 za Marudiano ya
Raundi ya 3 ya FA CUP, kukiwa na Mechi 4 za Klabu za Ligi Kuu England
zikwania kutotolewa nishai na Klabu za Madaraja ya chini na ipo Mechi
moja, WBA v QPR, ya Klabu za Ligi Kuu England pekee, na moja ya Klabu za
Championship pekee, ile kati ya Birmigham na Leeds United.
Hii ni Mechi ya 4 kwa WBA na QPR
kukutana Msimu huu ambazo ni mbili katika Ligi Kuu ambazo zote WBA
walishinda na sare moja ya kwenye FA CUP.
Kesho Jumatano Usiku, zipo Mechi mbili
tu za Marudiano ya Raundi ya 3 FA CUP ambapo Arsenal watacheza na
Swansea City Uwanjani Emirates kufuatia sare yao ya 2-2 katika Mechi ya
kwanza na huko Old Trafford, Manchester United wataivaa tena West Ham
baada ya kutoka 2-2 huko Upton Park.
MECHI ZA MARUDIANO- FA CUP-Raundi ya 3
Jumatano Januari 16
[SAA 4 Dak 30 Usiku]
Arsenal v Swansea City
[SAA 5 Usiku]
Man Utd v West Ham
RAUNDI YA 4
Ijumaa Januari 25
[SAA 4 Dak 30 Usiku]
Millwall v Aston Villa
Jumamosi Januari 26
[SAA 9 Dak 45 Mchana]
Crystal Palace au Stoke City v Manchester City
[SAA 12 Jioni]
Norwich City v Luton Town
Macclesfield Town v Wigan Athletic au Bournemouth
Derby County v Blackburn Rovers
Hull City au Leyton Auient v Barnsley
Middlesbrough v Aldershot Town
Brighton & Hove Albion v Swansea City au Arsenal
Reading v Sheffield United
Huddersfield Town v Leicester
QPR au West Brom v Sheffield Wednesday au MK Dons
Bolton au Sunderland v Everton
[SAA 2 na Nusu Usiku]
West Ham United au Manchester United v Fulham au Blackpool
Jumapili Januari 27
[SAA 9 Mchana]
Southend United au Brentford v Chelsea
[SAA 11 Jioni]
Leeds United au Birmingham City v Tottenham Hotspur
[SAA 1 Usiku]
Oldham Athletic v Liverpool
No comments:
Post a Comment